Madhumuni ya Kozi hii ni kumpatia mkulima mbinu bora zaidi za ukuzaji wa mpunga. ni pamoja na usimamizi wa mbegu, udhibiti wa maji, udhibiti wa wadudu na magonjwa, uwekaji mbolea, utunzaji kabla na baada ya mavuno